Tunaongoza Tanzania kwa kuwasaidia wajasiliamli wadogo kuanzisha na kukuza biashara ya sabuni na vipodozi vya asili kwa njia ya mafunzo na hudma hatamizi (coaching).
Dhamira yetu ni kuhakikisha kuwa kila mwenye ndoto ya kumiliki kiwanda cha kuzalisha sabuni na vipodzi vya sili anafikia ndoto yake kwa kishindo kikubwa.
Haijalishi una PhD, darsa la saba au haujaenda shule kabisa , kupitia shule hii tutakupa madini ambayo ni lazima ya kutoe hapo ulipo na kukusogeza mbele kwa maana ya kujiongezea kipato. . Hebu tupe nafasi tukufundishe namna ya kuanza biashara ya sabuni na vipodozi vya asili uone utakavyokuwa na bidhaa ambazo wateja wako watakuwa wanakutafuta kama vile nyuki wanavyofuata maua.
TUNAKUPA FULLY PACKAGE
YA KUKUWEZESHA KUANZA KUMILIKI BIAHSRA YA SABUNI NA VIPODOZI VYA ASILI HARAKA (NDANI YA WIKI MOJA) NA KWA MAFANIKIO MAKUBWA
Asante kwa kujisajili, Tafddhali ingia kwenye barua pepe yako na kisha utaona ujumbe kutoka kwetu kisha thibitisha ujasili wako kwa kubofya kitufe kilichoandikwa Confirm