John Jospeh


Courses

Jinsi ya Kuanzisha Biashara ya Sabuni na Vipodozi vya Asili Yenye Kuingiza Faida ya Kati ya Shilingi 200,000 - 1,000,000 kila mwezi
"Tutakonesha hatua kwa hatua Mimi ni mmiliki wa Kampuni ya Kunyumba Natural Products inayojihusisha na uzalishaji wa sabuni na vipodozi vya asili kama vile sabuni za mchele, kahawa, mafuta ya nywele, facial serum, shampoo n.k. Tofauti na watengezaji wengi wa bidhaa hizi mimi hutumia malighafi za asili katika kutengeza bidhaa zangu. Lengo ni kuhakikisha kuwa pamoja na kuwtengeza pesa ninalinda afya za watumiaji wa bidhaa yangu dhidi ya madhara ambayo wanaweza kuyapata kutokana na kutumia sabuni na vipodozi vyenye kemikali hatari. Ninafanya kazi Mamlaka ya Dawa na vifaa Tiba (TMDA), ambapo nikiwa ndani ya ajira nimewefanikiwa kuanzisha kwa mafanikio biashara ya uzalishaji wa sabuni na vipodozi vya asili yenye kupitia kampuni ya Kunyumba Nautural Products. Binafsi najisikia fahari sana kuwashirikisha wajasiliamali wengine wanaotaka kuingia kwenye ujasiliamli wa sabuni na vipodozi vya asili kwa huwasaidia kuanzisha na kukuza biashara ya sabuni na vipodozi vya asili kwa njia mbalimbali kama vile: (1) Mutoa mafunzo kwa makundi mbalimbali (vikobaa, vijana vikundi vya dini n.k) kuhusu utenegezaji wa bidhaa za asili za mbalimbali kama vile sabuni yam aji, sabuni za urembo, lotion, body cream, shampoo, shower gel, facial serum v Kutoa mafunzo kuhusu jinsi ya kuandaa mpango wa biashara kwa wafanyabiashara wadogo pamoja na kutafuta masoko (2) Kutoa huduma ya uatamizi kwa wajasiliamali ambao wanataka kuwekeza kwenye ununuzi wa mashine za uzalishaji wa sabuni. Hii ni huduma ambayo inawapa fursa wajasiliamali kuanza kufanya biashara kwa nembo zao wakati bado hawajanunua mashine. Faida ya huduma hii inawapa fursa wajasiliamli kujua soko kabal ya kufanya uwekezaji mkubwa. Aida huduma hii inamuwezesha mjasiliamli kupata fedha ya kununua mitambo kutokana na biashara ambayo anaifanya (kutengezewa bidhaa kwa nembo yake)
John Jospeh John Jospeh
Sh50,000